UPDATES: KUREJEA KWA BLOG YETU

Habari Ndugu Msomaji wa hii blog yetu pendwa, tunaomba radhi kwa kutokuwepo hewani kwa muda mrefu sana tokana na wingi wa majukumu tuliokuwa nayo.
 sasa blog yetu pendwa itarudi hewani na itapatikana pia katika APP na pia tovuti kamili.
 Taarifa za updates zote zitatolewa kupitia hii blog na account zetu za twitter.

 Kwa sasa tunakuwa tunadeal hasa na mambo yanayohusu Computer, Simu kwa pamoja,(Unlock, flashing, Repair) hardware na Software

 Kwa mawasaliano zaidi unaweza kutucheki
+255 621 447 241

Email:
willie.donmory@hotmail.com
SHARE

About Donmory

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment