Tecno SA1 Unlocked & Repaired file


Tecno SA1 Firmware Information

Rom NameTecno SA1 unlocked Firmware Rom
Based OnSigned Firmware
Rom OS VersionAndroid 8.0
Rom TypeOdexed
SocsMTK
Software neededTecno Flash Tool
CompressZip format
Hii ni unlocked kwa wale ambao wanahitaji kutumia kwa ajili ya kuiwezesha simu kusoma line yoyote upande wa Sim1 bila tatizo..

HATUA ZA KUFANYA
  • Unatakiwa kuiflash kwa kutumia Tecno flash tool au Sp flash tool 
  • Wakati unaiset file yako set iwe FORMAT ALL + DOWNLOAD
  • Baada ya kuiflash kwa njia hii simu inawaka haina IMEI na unatakiwa kurepair kutumia tool ya NCK, miralce, au tool yoyote inayokubali imei repair.
  • Ukisharepair imei sasa ndo muda wa kufanya DIRECT UNLOCK kupitia NCK crack/dongle/box



Kwa tatizo lolote check nami kwa
+255 678 777 053

SHARE

About Donmory

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: